Maporomoko Pokot Magharibi HD
Idadi ya watu waliofariki kutokana na maporomoko ya ardhi katika kaunti ya pokot magharibi inahofiwa kufikia 43 huku oparesheni ya kujaribu kufukua miili zaidi ikiendelea. Shughuli za kuopoa miili imeendelea kutwa nzima eneo hilo. Na kama anavyoarifu Hassan Mugambi, chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Pokot magharibi sasa hakiwezi tena kustahimili idadi ya maiti