TBC: Mvua Yazidi Kusababisha Maafa Dodoma HD

10.01.2018
Kwa Habari za Kitaifa, Kimataifa, Burudani, Matukio, Breaking News na Exlusive Interview za mastaa wote, video mpya za Bongo Fleva, hadithi za Eric Shigongo na Magazeti Bure, ni Application namba moja pekee Tanzania. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Mvua kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Dodoma imesababisha maafa makubwa ambapo nyumba, mifugo na vyakula vya wanakijiji wa Kaloleni mkoani Dodoma, vimesombwa na maji na kusababisha wananchi wengi wakose makazi. Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Binilith Mahenge akizungumza kutoka eneo la tukio, amewataka wanakijiji wa eneo hilo, kuhama mara moja kwa sababu wamejenga kwenye mkondo wa maji, na kuongeza kuwa nyumba na mali zao hazina maana kama wanaishi kwenye maeneo yasiyokuwa salama. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...

Похожие видео