Dawa ya malaria ALU 80/480 yazinduliwa Dar

22.11.2015
Dawa ya mseto ya Malaria maarufu kwa jila la ALU coartem 80 mkwaju 480 imezinduliwa leo jiji I Dar es Salam ambapo badala ya mgonjwa kumeza dozi yenye tembe 24, kwa dozi sasa mgonjwa atalazimika kunywa tembe sita tu kwa dozi.

Похожие видео

Показать еще