Shilole Alipomuuliza Diamond Kwanini Hamuoi Zari kwa Kiingereza? HD
Shilole Alipomuuliza Diamond Kwanini Hamuoi Zari kwa Kiingereza? Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo januari 31, amekutana na wasanii kutoka katika tasnia zote nchini ikiwemo Muvi, Bongo Fleva, Muziki wa asili, wacheza mpira, kwa ajili ya kujadili kwa pamoja masuala mbalimbali yanayohusu sanaa nchini. Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa Leaders Club Kinondoni jijini Dar. Alipopewa Nafasi ya kuzungumza katika hafla hiyo Mwanamuziki Shilole akawavunja watu mbavu na kiingereza chake huku akimlilia Diamond na kumuuliza kwanini hajamuoa mama watoto wake Zari na badala yake yupo kwenye mipango ya kumuoa Tanasha mrembo kutoka kenya. #RCMAKONDA #WASANII ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw. Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club https://goo.gl/mkvuoB
Похожие видео
Показать еще