TUTAKUAMBIA WEWE USIYE NA HAKI HUNA HAKI, NA WEWE MWENYE HAKI TUTAKUTAFUTIA HAKI YAKO, WAZIRI LUKUVI HD

30.12.2019
Wananchi wa jiji la Dar es Salaam walio na kero ya ardhi wamejitokeza katika ofisi za Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ili kuandikisha kero zao tayari kwa kuanza kusikilizwa na Waziri mwenye dhamana William Lukuvi.

Похожие видео