NI WEWE by MWANGI NIMO (Official Video HD) HD

26.07.2017
"Let them praise the LORD for His loving kindness, for His wonderful works for the children of men."- Psalms 107:31 Written by Mwangi Nimo Lead guitar by Isaac Mugunda Bass guitar by Yvan Kwizera Arranged, Produced and Mastered by Majic Studio Shot at Two Rivers Mall Video production by Bantu films For more information, bookings, etc. : Mwanginimomusic@gmail.com Lets Connect; Instagram: https://www.instagram.com/themwanginimo/ Twitter: https://twitter.com/mwangi_nimo?s=08 Facebook: https://m.facebook.com/NimoWorship/?ref=bookmarks LYRICS Verse 1 Uliniona nilipopotea, Kaniosha Mimi, kanipa Uzima. Uliniona nikiwa mpweke, kanipa upendo, Sasa Niko Huru... We have come to praise your Holy name, Today! We have come oh, to praise your Holy name ! CHORUS Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe! Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe! X2 Verse 2 Maishani mwetu twasema ni Wewe, Unaye Bariki , Unaye okoa. Twa...kukimbilia Wewe, twajificha kwako Unaye tujali! X2 We have come to praise your Holy name today! We have come oh, to praise your Holy name ! Chorus Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe! Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe! X2 Bridge Wewe tulizo la roho zetu Wewe kipenzi cha roho zetu Wewe waponya nafsi zetu Wewe ni mwanzo tena mwisho Chorus Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe! Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe! X2

Похожие видео

Показать еще