PETRA: MJI Wa KIBIBLIA Uliopotea KIMIUJIZA, Sasa Ni MAGOFU Tu! HD
PETRA: MJI Wa KIBIBLIA Uliopotea KIMIUJIZA, Sasa Ni MAGOFU Tu! Kama wewe ni msomaji wa Biblia, utakuwa umewahi kukutana na habari ya Musa na Haruni na safari ya Waisraeli kwenda katika nchi ya ahadi, Kaanani. Biblia inaeleza kwamba, baada ya kutoka Misri, Waisraeli waliianza safari ya kuelekea nchi ya ahadi lakini wakajikuta wakikwama jangwani. Walikaa kwa zaidi ya miaka arobaini jangwani, wakilishwa ‘mana’. Ikatokea wakati fulani, Waisraeli wakawa wamechoka, wakaanza kumlaumu kiongoni wao, Musa kwamba ni bora angewaacha Misri waendelee kuwa watumwa kuliko mateso waliyokuwa wakiyapata jangwani. #Petralostcity #SimulizizaAnanias https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho