UJENZI wa MRADI wa BWAWA la UMEME, MAKAMBA Apiga ZIARA ya KIBABE, Ataja FAIDA KUBWA LIKIKAMILIKA! HD
UJENZI wa MRADI wa BWAWA la UMEME, MAKAMBA Apiga ZIARA ya KIBABE, Ataja FAIDA KUBWA LIKIKAMILIKA! Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme katika bwawa la Julius Nyerere umefikia asilimia 67 na Sasa ujenzi wake unafanyika usiku na mchana Ili kuhakikisha unakamilika Kwa Wakati 2024. Mradi huo ulianza kujengwa Mwaka 2018 na katika miaka miwili na nusu ya kwanza ya ujenzi wa mradi huo hadi kufikia Julai mwaka 2021 ulikuwa umefikia kwenye asilimia 37 tu lakini tangu serikali ifanye mabadaliko kadhaa ikiwemo bodi ya usimamizi wa mradi huo imechochea Kasi ya ujenzi hivyo katika kipindi Cha mwaka mmoja tukutoka mwaka 2021Hadi saa mradi huo umeweza kufikia asilimia 67 ikiwa ni ongezeko karibu Mara mbili ya ilivyokuwa mwaka Jana Mradi huo unatarajiwa kukamilika Juni 2024 na utzalisha umeme megawati 2115 hivyo utasaidia kupatikana Kwa umeme wa uhakika na wabei nafuu hivyo utachichea shughuli za uchumi ikiwemo viwanda na migodini lakini uhakika wa Nishati hiyo Kwa wananchi Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme katika bwawa la Julius Nyerere umefikia asilimia 67 na Sasa ujenzi wake unafanyika usiku na mchana Ili kuhakikisha unakamilika Kwa Wakati 2024 Mradi huo ulianza kujengwa Mwaka 2018 na katika miaka miwili na nusua kwanza ya ujenzi wa mradi huo hadi kufikia Julai mwaka 2021 ulikuwa umefikia kwenye asilimia 37 tu lakini tangu serikali ifanye mabadaliko kadhaa ikiwemo bodi ya usimamizi wa mradi huo imechochea Kasi ya ujenzi hivyo katika kipindi Cha mwaka mmoja tukutoka mwaka 2021Hadi saa mradi huo umeweza kufikia asilimia 67 ikiwa ni ongezeko karibu Mara mbili ya ilivyokuwa mwaka Jana Mradi huo unatarajiwa kukamilika Juni 2024 na utzalisha umeme megawati 2115 hivyo utasaidia kupatikana Kwa umeme wa uhakika na wabei nafuu hivyo utachichea shughuli za uchumi ikiwemo viwanda na migodini lakini uhakika wa Nishati hiyo Kwa wananchi ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline