ZOOM ZANZIBAR: Hatua ya ACT Wazalendo kujitowa kwenye uchaguzi mdogo HD
Leo kwenye ZOOM ZANZIBAR, tunakiangalia kitendo cha chama cha ACT Wazalendo kujiondowa kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani Chwaka na tunajiuliza endapo hii ni ishara ya mwanzo mpya wa jinsi Maridhiano na Serikali ya Umoja wa Kitaifa itakavyofanya kazi ama ni mwisho wa uhusiano kati ya chama hicho na mshirika mkuu serikalini, CCM! Jiunge nasi ifikapo saa 3:00 Usiku kwa majira ya Afrika Mashariki. https://us02web.zoom.us/j/5578641689?... Meeting ID: 557 864 1689 Passcode: 6uw08c