Majibu ya Anthony Mavunde kuhusu tatizo la vijana kukosa ajira na mengine HD

27.04.2016
Katika kipindi cha maswali na majibu April 27 2016 moja ya Wizara zilizopata nafasi ya kujibu maswali ya wajumbe ni pamoja na Wizara ya Kazi, Vijana na Ajira, ambapo swali kutoka kwa Esther Michael Mbunge wa viti maalumu aliuliza Serikali kupitia Taasisi za umma zimeweza kufanya tafiti nzuri kujua uhalisia wa suala la ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Ajira na Vijana Anthony Mavunde amejibu

Похожие видео