T.I.D afunguka kwa mara ya kwanza toka sakata la dawa za kulevya

17.02.2017
Mwimbaji hodari wa Bongoflavour T.I.D amefunguka kwenye mahojiano kwa mara ya kwanza toka amepata dhamana kwenye kesi ya dawa za kulevya. Amehojiwa na XXL CloudsFM na kuongea kuhusu idadi ya magari ambayo angekua nayo kama asingekua anatumia dawa za kulevya, maisha anayoyataka pamoja na mengine kwenye mipango yake.

Похожие видео

Показать еще