TWAWEZA: Tutaendelea kutoa TAKWIMU kwa faida ya wananchi/ Hatujui COSTECH wanataka nini HD
Leo Agosti 03, 2018 Shirika la Twaweza nchini Tanzania limeongea na Waandishi wa Habari kuhusu barua ya kuhoji uhalali wao wa kufanya tafiti nchini waliyopewa na COSTECH, pia kushikiliwa kwa passport ya kusafiria ya Mkurugenzi wao Mtendaji na mafanikio waliyoyapata ndani ya miaka 10 ya kufanya kazi Tanzania.