MAONYESHO YA NANENANE SIMIYU YALIVYOFANA

01.08.2019
MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMEZINDUA MAONYESHO YA 27 YA NANENANE KITAIFA YANAYOFANYIKA MKOANI SIMIYU AMBAPO PIA AMEZINDUA MKAKATI WA MIAKA KUMI UNAOHUSU KINGA YA UPOTEVU WA MAZAO BAADA YA MAVUNO. Taarifa zaidi na Rose Mweko kutoka Simiyu. NI MKAKATI WA MIAKA KUMI YA UBORESHAJI NA UDHIBITI WA MAZAO BAADA YA MAVUNO AMBAPO MAMA SAMIA AMEWATAKA WATALAAM WA MAONYESHAJI KUTOA ELIMU YA BIDHAA ZA KILIMO UVUVI NA MIFUGO ILI KUWAFANYA WANANCHI KUWA NA UELEWA WA KUFANYA KILIMO BIASHARA KITAKACHOWAWEZESHA KUPATA FAIDA. Insert-samia suluhu hasaan-makamu wa rais wa Tanzania. AKITOA TAARIFA YA WIZARA, WAZIRI WA KILIMO JAPHET HASUNGA AMESEMA WIZARA IMEJIPANGA VIZURI KATIKA KUHAKIKISHA MAONYESHO HAYA YANAFANIKIWA AMBAPO AMESEMA TAFITI INAONYESHA TANZANIA BARA PEKEE MAZAO YALIYOKWISHA VUNWA YANAPOTEA KWA ASILIMIA 30 KIASI AMBACHO KIKIHIFADHIWA NI KIKUBWA NA KINAWEZA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO. Insert-japhet hasunga-waziri wa kilimo. MKOA WA SIMIYU UNAZALISHA KILO MILLIONI 150 ZA PAMBA IWAPO MKOA UTAPATA KIWANDA CHA NGUO KITARAHISHA UUZWAJI WA PAMBA NA KUBORESHA MAISHA YA WAKULIMA, PIA NI MAARUFU KWA UKULIMA WA PAMBA MAARUFU KAMA DHAHABU NYEUPE AIDHA MAZAO MENGINE YANAYOLIMWA KWA WINGI NI CHOROKO,DENGU NA ALIZETI HUKU KATIKA UFUGAJI IKISIFIKA KWA KUWA NA IDADI KUBWA YA MIFUGO NA HASA NG,OMBE. Insert-antony mtaka-mkuu wa mkoa wa simiyu.

Похожие видео