Agalia Mambo haya 12 ya kuzingatia kwa mama mjamzito: Alen Kinyina HD
Video hii imejumuisha mambo 12 ya kuzingatia kwa mama mjamzito ili aweze kupata mtoto mwenye afya njema. Mambo yote yaliyomo yamefanyiwa tafiti na kudhibitishwa kisayansi.Ujumbe uliomo hauchukui nafasi ya ushauri wa matibabu utakaopewa na mkunga au dakitari. Unaruhusiwa kutumia video hii kutoa elimu au kwa namna nyingine kwa minajili isiyo ya kibiashara.