Ulipofikia mpango wa IP Policy itakayolinda kazi za Ubunifu HD
Ni March 6, 2017 ambapo wataalamu wa IP Policy na viongozi wa Serikali pamoja na Sekta binafsi wamekutana kuzungumzia tafiti za miliki bunifu hasa katika masuala ya Sanaa ikiwemo, Sanaa ya uigizaji, Sanaa ya uimbaji, Sanaa ya uchoraji.