EXCLUSIVE: Shime baada ya Serengeti Boys kumdhibiti Bingwa mtetezi AFCON U-17 HD

16.05.2017
Baada ya May 14 2017 michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 kuanza nchini Gabon katika uwanja wa Port Gentil, May 15 ilikuwa ni zamu ya michezo ya Kundi B kuchezwa katika uwanja wa Stade de Amitie jijini Libreville kwa michezo Kundi B kuchezwa. Moja kati ya michezo iliyochezwa siku ya May 15 ni mchezo kati ya timu ya taifa ya Mali ambao ndio Mabingwa watetezi dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania Serengeti Boys, mchezo huo wengi walikuwa wakitarajia kuona Mali akifanikiwa kuondoka na point tatu ukilinganisha lakini walijikuta game ikimalizika kwa sare tasa 0-0.

Похожие видео

Показать еще