Tizi wanalopiga Serengeti Boys Gabon (AFCON U-17) HD
Timu ya Taifa ya Tanzania ya chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys kesho May 15 2017 itacheza mchezo wake wa kwanza wa Kundi B wa michuano ya AFCON U-17 dhidi ya timu ya taifa ya Mali ambao ndio Mabingwa watetezi wa Kombe hilo.
Похожие видео
Показать еще