Video ya magoli ya mechi ya Yanga vs Medeama SC July 16 2016, Full Time 1-1 HD
July 16 2016 Yanga ilicheza mchezo wake wa tatu wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Medeama SC ya Ghana, katika mchezo huo Yanga walilazimishwa sare ya goli 1-1, goli la Yanga lilifungwa na Donald Ngoma dakika ya 2 na kwa upande wa Medeama goli lao lilifungwa na Benard Danso dakika ya 17.
Похожие видео
Показать еще