HABARI - AZAM TV 4/1/2019 HD
Rais Magufuli awashukia wanunuzi wa korosho wasio na mashamba na kuipongeza Wizara ya Kilimo kwa kununua korosho za wakulima na Serikali yakiri uhaba wa wahadhiri kwenye vyuo vikuu vya umma lakini yaweka wazi mkakati wa kutatua tatizo hilo. Kwa hayo na mengine mengi usiku wa leo ungana na Raymond Nyamwihula na Fatma Almasi Nyangasa katika Azam News.
Похожие видео
Показать еще