HABARI - AZAM TV 10/10/2018 HD

11.10.2018
Serikali yaishukia UDART kuhusu kuyumbayumba kwa uendeshaji wa mradi wa usafiri wa umma na watumishi sita wa serikali sambamba na mfanyakazi wa mgodi wa Acacia kizimbani kwa tuhuma za rushwa ya mabilioni ya shilingi. Kwa hayo na mengine mengi ungana na Charles Hilary na Ivona Kamuntu ndnai ya #AzamNews.

Похожие видео

Показать еще