HABARI - AZAM TV 31/10/2018 HD
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Umma (PIC) yaiombea kampuni ya mbolea msamaha wa deni la zaidi ya bilioni 20 na Zitto Kabwe aendelea kusota mikononi mwa polisi kwa mahojiano. Kwa hayo na mengine mengi ungana na Charles Hilary na Ivona Kamuntu ndani ya AzamNews