Baraka Shamte, kada wa CCM Zanzibar ataka Rais Mwinyi awe rais wa muhula mmoja tu HD
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Mjini Baraka Shamte ameikosoa serikali ya Rais Mwinyi na uongozi wake akisema kuwa unafanya mambo yasiyo na manufaa kwa umma. Mengi zaidi mtazame umsikie mwenyewe.