Mastaa wa Yanga Waiponda Kambi ya Simba Waliyoenda Uturuki|Uturuki sawa na Morogoro tu HD
Mastaa wa yanga wameponda kuweka kambi nje ya nchi na kusisitiza utimamu wa mwili na mbinu ndio muhimu na sio mahali mlipoweka kambi pia wamesisitiza wataonyesha maajabu ligi kuu.