DUH! MASHABIKI SIMBA WALIAMSHA BAADA YA USHINDI WA 3-1/YANGA WAMEFUNGWA NA TIMU NDOGO TU
Mashabiki wa klabu ya Simba Sc, wamefunguka kuhusiana na ushindi walioupata leo dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo wamesema ushindi wa leo umekuja muda muafaka.
Похожие видео
Показать еще