WAZIRI NAPE NNAUYE AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUAPISHWA HD

10.01.2022
WAZIRI NAPE NNAUYE AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUAPISHWA Kutoka Ikulu Chamwino Dodoma Waziri wa Habari Mhe Nape Nnauye amezungumza kwa mara ya kwanaza baada ya kuapishwa na kushika nafasi hiyo ya Uwaziri wa Habari Akihojiwa na waandishi wa Habari Mhe.Nape amemshukuru Rais Mhe.Samia Suluhu Hassani kwa nafasi aliyomkabidhi na anatambua kiu aliyonayo na pia anatambua matarajio ya watanzani juu ya sekta aliyokabidhiwa na amehaidi kuyatendea kazi yote yaliyo katika sekta hiyo ya habari. WATCH WASAFI TV AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 88.9 DAR/ZNZ/PWANI | 104.1 DODOMA | 94.5 ARUSHA | 97.3 MBEYA | 94.9 MWANZA | SHINYANGA 106.3 | KIGOMA 101.7 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ ©2021 . . #wasafi #wasafitv #wasafifm

Похожие видео

Показать еще