MASHABIKI wa Simba Waifungukia Yanga Kuiadhibu Mapema Tu!! HD
MASHABIKI wa Simba Waifungukia Yanga Kuiadhibu Mapema Tu!! MASHABIKI wa Simba katika tawi la Mpira pesa Magomeni wamejitamba kuwa wataifunga Yanga mapema tu kutokana na kikosi chao kilivyojiimarisha na kipo vizuri. Wakizungumza na Global Tv mashabiki wa Simba wamesema kuwa Mashabiki wa Yanga waende kwa wingi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakashuhudie kipigo dhidi ya Watani wao wa jadi. Simba na Yanga zitashuka dimbani jumapili April 29 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..