Marudio ya uchaguzi mkuu Zanzibar ni keshokutwa tu, Jaji mkuu wa Zanzibar kaongea haya HD

17.03.2016
Zanzibar inatarajia kufanya uchaguzi mkuu wa marudio March 20, maamuzi hayo yamefanyika baada ya matokeo ya uchaguzi wa awali kufutwa. Kuelekea uchaguzi mkuu jaji mkuu Zanzibar kaongea haya.

Похожие видео