Rumba La Siasa : Auma Obama aibua mjadala wa rais mwanamke au naibu wa rais 2022

02.08.2015
Je, ni lini taifa la Kenya litawahi kuwa na rais wa kike? Au hata kuwa na naibu rais wa kike? Hilo ndilo swali kuu ambalo huenda wengi wanajiuliza huku mwamko wa rais wa Marekani Barack Obama kwa viongozi wa bara afrika ukiwa ni ule wa kuwasuta wasikwamilie mammlaka na pia kuwapa wanawake motisha wa kujiinua ili wasije wakakandamizwa kwenye safu za uongozi. Basi kwenye makala yetu ya Rhumba la Siasa leo tunaangazia uwezo wa akina mama kuwa mstari wa mbele kwenye uongozi wa taifa hili huku dadake rais wa Marekani Barack Obama, Auma Obama na mwanawe aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, Rosemary Odinga wakidadisiwa kuwa miongoni mwa wale ambao wanapigiwa upatu kuhakiki uhalisia wa mtazamo huo.

Похожие видео