TBC: Serikali Itaendelea Kushirikiana na CCBRT Kupambana na Fistula HD

07.06.2018
TBC: Serikali Itaendelea Kushirikiana na CCBRT Kupambana na Fistula Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itaendelea kushirikiana na Hospitali ya CCBRT kutoa huduma mbalimbali kwa jamii, ikiwa ni pamoja na kupambana na ugonjwa wa Fistula unaowatesa wanawake wengi. Fistula ya uzazi ni ugonjwa unaosababishwa na kuwepo tundu lisilo la kawaida kati ya kibofu cha mkojo na njia ya uke au kati ya njia ya haja kubwa na uke. Tundu hili husababisha mwanamke ashindwe kujizuia kutokwa na haja ndogo, wakati mwingine haja ndogo na kubwa huchanganyikana na kutokea kwenye njia ya haja ndogo au kubwa na matatizo mengine ya aina hiyo. Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

Похожие видео