TBC: WABUNGE WAJA KIVINGINE KUISIMAMIA SERIKALI HD

09.11.2018
TBC: WABUNGE WAJA KIVINGINE KUISIMAMIA SERIKALI Katika kile kinachoonekana kutaka kuisimamia serikali vilivyo na bunge kuwa lenye tija kwa maendeleo na ustawi wa nchi, wabunge wa bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania waunda kikundi cha maendeleo kwa lengo la kufatilia makubaliano na mikataba ya kimataifa. Katika hafla ya ufunguzi wa kikundi hicho, spika wa bunge mhe. Job Ndugai amewataka wabunge kuendelea kuisaidia serikali katika kutekeleza majukumu yake. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Похожие видео