WEWE NI EBENEZA - MATHIAS A MWANYAMAKI
Nyimbo hii ya wewe ni Ebeneza imeimbwa na Muimbaji wa nyimbo za injili Mathias A Mwanyamaki.Nyimbo hii ni moja kati nyimbo zake zinazopatikana katika album yake mpya iitawayo Shikamoo Yesu na hii ni nyimbo yake mpya kabisa iitwayo wewe ni Ebeneza. Akiendelea kuwaomba mashabiki wake hali kazalika wadau wa mziki wa injili kwa ujumla waendelee kumpokea katika ujio wake huu mpya.;