Sio tu magari kwa Wanafunzi, BOSS wa WAJA kajengea na Walimu nyumba HD
Mkurungenzi wa shule za WAJA Injinia Chacha Wambura hivi karibuni aliingia kwenye headlines baada ya kutoa zawadi ya magari kwa Wanafunzi wake waliofanya vizuri kidato cha sita. Kingine Boss huyu amesema Waalimu wake wote wanastahili kuishi vizuri, kawajengea nyumba za kuishi hapohapo shuleni.