JPM Abadili Maamuzi kwa Wakuu wa Mikoa Wawili Baada tu ya Kuwaapisha
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Rais Magufuli amewataka Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aliyeapishwa leo, Bi. Christine Mndeme akaripoti mkoa wa Ruvuma na Mkuu wa Mkoa Ruvuma, Mahenge atahamia mkoa wa Dodoma. Kila mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya akaangalie matatizo yaliyopo na kitu gani anaweza kufanya kuongeza uchumi wa eneo lake Nitashangaa kama patakuwepo wanafunzi ambao wapo kwenye orodha ya kupata mikopo na wasipate. Nimeshaidhinisha bilioni 147 kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu na pesa zipo wizara ya elimu. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...