Lowassa kaeleza alichozungumza na TB Joshua na kutoridhishwa na NEC HD
Aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA Edward Lowassa amehutubia mahafali ya CHADEMA Student Organization ‘CHASO’ ambapo amesema hajaridhishwa na matokeo ya uchaguzi mkuu 2015 na kaeleza kwamba TB Joshua alikuja kumshawishi akubali matokeo.