Makamu wa Rais aonya watafiti wanaobeba ajenda binafsi HD

10.04.2019
Makamu wa Rais Smia Suluhu Hassan amewataka watafiti wanaofanya tafiti mbalimbali nchini kuzingatia maadili ya nchi badala ya kubeba ajenda binafsi pindi wanapofanya shughuli zao ili mchango wa tafiti ziwe na mchango zaidi kwa maendeleo ya nchi.

Похожие видео