FURSA 21 BORA KWA WANACHUO HD

09.07.2018
FURSA 21 BORA KWA WANACHUO  Fursa ya kuuza programu za kompyuta.  Fursa ya kuuza simu za aina mbalimbali ikiwemo simu za kupangusa.  Fursa ya kufundisha masomo ya ziada kwenye shule za karibu.  Fursa ya biashara ya mtandao.  Fursa ya kuwa mwanamuziki au mwimbaji. Kama wewe ni mwanachuo, unaweza kufanya fursa ya kuimba nyimbo za aina mbalimbali ikwemo za injili, bongo fleva na nyimbo zingine.  Fursa ya kuwa wakala wa kampuni ya usafirishaji. Kwa kuwa kila mwisho wa muhula wanafunzi husafiri kurudi likizo, unaweza kutayarisha usafiri wa kwenda sehemu mbalimbali kwa kuwasiliana na watu wa kampuni husika. Wapo wanafunzi kadhaa ambao wamefanya fursa hii pale Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) na kupata pesa nzuri.  Fursa ya kufanya tafiti na kuuza matokeo na mapendekezo ya tafiti.  Fursa ya kuuza vocha na bando.  Fursa ya kutengeneza simu, kompyuta, saa, majagi ya umeme miongoni mwa mengine.  Fursa ya kuanzisha kikundi cha maigizo.  Fursa ya kupaka kucha rangi. Vyuoni unaweza kujiajiri kwa kupaka wadada rangi kwenye kucha zao. Hii ni fursa inayoweza kufanywa na mwanaume au mwanamke.  Fursa ya kuuza nguo za aina mbalimbali za kike na za kiume. Unaweza kuuza jeans, matisheti, magauni, chupi, brezia, boksa, makoti, suti na mengine.

Похожие видео

Показать еще