Hatima ya kesi ya Mbowe ya ufisadi kujulikana kesho HD

31.08.2021
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania itatoa uamuzi wake kesho Septemba Mosi, 2021 kama inaweza kuendelea na kesi ya kiongozi wa upinzani nchini humo ama la. Hatua hiyo imekuja kufuatia hoja za pingamizi zilizowasilishwa mahakamani hapo na Mbowe pamoja na watuhumiwa wenzake, wanaodai kuwa mahakama hiyo haina mamlaka kisheria kusikiliza kesi hiyo. #bbcswahili #Tanzania #siasa

Похожие видео