MKUU WA WILAYA YA ILALA AZINDUA WI-FI CHUO CHA BIASHARA CBE DAR HD
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amezindua WiFi ya mtandao wa bure kwa katika chuo cha elimu ya biashara (CBE) kampasi ya Dar es Salaam, na kuwaomba wanafunzi wa chuo hicho kuitumia WiFi hiyo kwa tija ya masomo ikiwemo kufanya tafiti mbalimbali zitakazo wasaidia katika masomo yao na jamii kwa ujumla.