Jinsi TAWIRI inavyotoa idadi za wanyamapori na tafiti HD
Meneja wa Kitengo cha Habari na Elimu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI), Dk Janemary Ntalwika anaeleza namna taasisi hiyo yenye mamlaka inayotoa tipoti mbalimbali za kitafiti na kuishauri serikali. TAWIRI ni washiriki Maonesho ya 42 ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam