Ni kweli vitambi husababisha upungufu wa nguvu za kiume na ugumba? HD

28.02.2017
Moja ya tafiti niliyokutana nayo hivi karibuni hata ikaandikwa kwenye Gazeti la Mwananchi ni hii iliyosema ‘vitambi husababisha ugumba na upungufu wa nguvu za kiume, tatizo la kusahau na shinikizo la damu’ Ninae Dr. Kisaka Stephen ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu katika shirika la umoja wa mataifa Sudan na amekubali kutufafanulia.

Похожие видео

Показать еще