Mnangagwa kuapishwa kuwa Rais wa Zimbabwe HD
Emmerson Mnangagwa kuapishwa kuwa Rais mpya wa Zimbabwe siku ya Ijumaa baada ya Robert Mugabe kujiuzulu. Waziri Mkuu wa Lebanon Saad al- Hariri ameahirisha hatua yake ya kujiuzulu kutokana na maombi ya Rais Michel Aoun, Umoja wa Afrika walaani biashara ya utumwa inayodaiwa kufanyika Libya
Похожие видео
Показать еще